Njia gani kati ya hizi unafikiri ni bora na ungependa itumike kuondowa hali mbaya ya kiuchumi na rushwa Tanzania?

1 vote
Serikali ya CCM na uongozi wake wote uondolewe
 
100% / 1 vote
Serikali ya kijeshi au kidikteta ishike hatamu (mapinduzi ya kijeshi)
 
0% / 0 votes
Elimu itiliwe mkazo zaidi tusiendelee kujenga taifa la wajinga
 
0% / 0 votes
Tunahitaji serikali ya kidini yenye miiko na maadili makali sana
 
0% / 0 votes
Waliokula rushwa wafungwe maisha na pesa zote zirudishwe
 
0% / 0 votes
Katiba iruhusu wagombea binafsi hususani wafanyabiashara
 
0% / 0 votes
Vijana wapewe nafasi za ngazi za juu kuongoza nchi hii
 
0% / 0 votes
Elimu iwe kigezo namba moja kikubwa kupata uongozi wa ngazi za juu
 
0% / 0 votes
Tatizo ni Raisi Kikwete peke yake, akitoka huyu tu watanzania tutafurahi
 
0% / 0 votes
Wananchi kama watu binafsi tuanze kubadilika tusilaumu serikali
 
0% / 0 votes


Click here to share poll on specific pages, user profiles or purchase votes!