Niaje wasee kuna hizi ngoma mbili na zote zinaitwa LAMBA LOLO. moja ni ya msanii anaitwa K.R.G THE DON na hio ingine ya group inaitwa Swat Kati hizi mbili ni gani imekubamba? Tuambie your choice #TeamKagomaz #Kagomazone #turnUpTuesday #WhatsFreshTuesday