Mojawapo ya majukumu ya Rais katika rasimu ya Katiba mpya ni Ibara ya 69 (1) (K0 ni kuidhinisha utekelezaji wa adhabu ya kifo iliyotolewa kwa mujibu wa sheria za nchi. Je katika katiba mpya tunahaja ya kuendelea kuwa na adhabu ya kunyonga hadi kufa?



Click here to share poll on specific pages, user profiles or purchase votes!